Wazo la Kiubunifu la Uambatanishaji wa Mali Isiyohamishika: Uwakala wa Mali Isiyohamishika Ukirahishishwa: Uambatanishaji wa mali isiyohamishika
Matthias Fiedler
* Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.
Sozialwissenschaften, Recht, Wirtschaft / Wirtschaft
Beschreibung
Kitabu hiki kinaeleza wazo la kimageuzi la jukwaa (app) la uambatanishaji wa mali isiyohamishika duniani kote likipiga hesabu ya mauzo yanayowezekana (Dola Bilioni), ambalo limeshirikishwa kwenye programu ya wakala wa mali isiyohamishika likijumuisha tathmini ya mali isiyohamishika (uwezo wa mauzo ya Dola Trilioni).
Hii yamaanisha kwamba mali isiyohamishika za kukodesha na ya nyumba za kibiashara, ama ambayo mmiliki anaishi ndani au iliyokodishwa, yaweza kufanyiwa uwakala ifaafyo na katika njia yenye kukomboa mda. Hii ndiyo siku za baadaye za uwakala wenye ubunifu na kiutaalamu wa mali isiyohamishika kwa maajenti wote wa mali isiyohamishika na wamiliki wa mali. Uambatanishaji wa mali isiyohamishika hufanyika nusra katika mataifa yote na hata kote katika mataifa.
Badala ya "kumletea" mali mnunuzi au mkopeshaji, kukiwa na jukwaa la uambatanishaji wa mali isiyohamishika, wanunuzi wanaotaka au wakodeshaji wanaweza kuhitimishwa (saka profaili) na kisha wakaambatanishwa na kuunganisha na mali inayopeanwa na maajenti wa mali isiyohamishika.
Kundenbewertungen
Kupitishwa ka Mali isiyohamishika au tathmini ya mali isiyohamishika, programu, app, Programu ya uwakala wa mali isiyohamishika, Uambatanishaji wa mali isiyohamishika, Jukwaa la uambatanishaji wa mali isiyohamishika, Uwakala wa mali isiyohamishika, wakala wa mali isiyohamishika