Mama yangu ni poa My Mom is Awesome
KidKiddos Books, Shelley Admont
EPUB
ca. 6,40 €
Kinder- und Jugendbücher / Kinderbücher bis 11 Jahre
Beschreibung
Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.
Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo. Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha.
Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha ,hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
Swahili bedtime stories, Swahili Kids books, English Swahili children's books, Swahili for children, Swahili for kids, Swahili for toddlers, Swahili books for kids