img Leseprobe Leseprobe

Safari ya Kombamwiko

Emmanuel Kariuki

EPUB
ca. 17,99
Amazon iTunes Thalia.de Hugendubel Bücher.de ebook.de kobo Osiander Google Books Barnes&Noble bol.com Legimi yourbook.shop Kulturkaufhaus ebooks-center.de
* Affiliatelinks/Werbelinks
Hinweis: Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.

Phoenix Publishers img Link Publisher

Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre

Beschreibung

Kombamwiko alikuwa akiishi kwa raha mustarehe na wazazi wake kijijini. Ngoja basi siku moja akutane na Faragano, mende mmoja mjuaji, ambaye alimsifia Kombamwiko kuhusu maisha matamu ya mjini, kulingana na yale ya 'kijinga' ya kijijini kwao. Hadi Kombamwiko akaamua kwenda huko mjini akajionee mwenyewe uhondo, dhidi ya pingamizi za wazazi wake. Safari ikaanza. Kumbe, lahaula! Mambo sivyo kama alivyotarajia! Walikumbwa na visa na mikasa; wakateseka vilivyo na mwishowe wakaamua heri warejee nyumbani; kwani mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani.Hadithi hii ya kuvutia inasimulia visa vya safari hiyo ya Kombamwiko na wenzake.

Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Cover Usalama Barabarani
Peter A. Kisia
Cover Kishu Kazi
Hayati Jay Kitsao
Cover Watoto wa Mitaani
Peter A. Kisia
Cover Siku ya Wajinga
Clara Momanyi
Cover Mama wa Kambo
Catherine N. M. Kisovi
Cover Jumamosi ya Mkosi
Bitugi Matundura
Cover Kaponea Chupuchupu
Akberali Manji
Cover Safari ya Usiku
Hezron Mugambi
Cover Mtoto Aliyetoweka
Akberali Manji
Cover Mateso Mwathirika wa Ukimwi
Fortunatus F Kawegere
Cover Kinga ya Rushwa
Fortunatus F Kawegere
Cover Safari ya Kombamwiko
Emmanuel Kariuki
Cover Votes for Women
Elizabeth Robins

Kundenbewertungen

Schlagwörter

kijana, kitabu, mchezo wa kuigiza, novela, joka, tamthiliya, kitendo, siri, kuja kwa umri, kijana mzima, tukio