Kishu Kazi
Hayati Jay Kitsao
EPUB
ca. 20,99 €
Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre
Beschreibung
Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata kazi." Hata ikawa amebandikwa jina 'Kishu Kazi'. Lakini siku alipovamiwa na wezi, ndipo walishuhudia kikifanya kazi kishu kazi.
Hadithi ya Sungura mjanja, kama jina linavyodokezea, inahusu sungura na jinsi anavyojishinda mwenyewe mwishowe kwa werevu wake wa kupindukia kiasi.
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
novela, kijana mzima, joka, tamthiliya, kijana, siri, mchezo wa kuigiza, kitendo, kuja kwa umri, tukio, kitabu