Pendo la Halineshi
Ahmed E Ndalu, Hamisi Chombo
Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre
Beschreibung
Waswahili husema fani ya ujinga mwingi na elimu ni taa, gizani huzagaa. Je, iwapo mtu hajapata elimu ya vitabu wala ya maisha huwa mtu wa sampuli gani? Basi zamani za kale kulikuwa na ghulamu jina lake Fikirini. Elimu ya darasani hakuiona wala kuihisi. Alipata mke, Bi Halineshi, ingawa hakujua kumtunza kutokana na ujeuri na kiburi. Alimpa mkewe talaka bila kujua hamadi kibindoni silaha iliyo mkononi. Kwa talaka hiyo Bi Halineshi alimpata mchumba akamuoa kwani riziki haigombi. Je, Fikirini ataishi maisha gani bila elimu wala mke?
Kundenbewertungen
tamthiliya, novella, action, drama, kitendo, tukio, teen, young adult, coming of age, joka, book, kuja kwa umri, adventure, dragon, fiction, mchezo wa kuigiza, kijana, kitabu, mystery, siri, kijana mzima, ya drama, novela