Kamusi Rasmi ya picha
Yahya Mutuku
* Affiliatelinks/Werbelinks
Links auf reinlesen.de sind sogenannte Affiliate-Links. Wenn du auf so einen Affiliate-Link klickst und über diesen Link einkaufst, bekommt reinlesen.de von dem betreffenden Online-Shop oder Anbieter eine Provision. Für dich verändert sich der Preis nicht.
Schule und Lernen / Schulbücher Allgemeinbildende Schulen
Beschreibung
Kamusi Rasmi ya Picha imeandikwa kwa upekee usiodhihirika katika kamusi nyingine. Kamusi hii ina sifa zifuatazo:
• Imeepuka mpangilio wa kialfabeti uliotumiwa na kamusi nyingine. Msamiati umepangwa kwa makundi badala ya kialfabeti kwa sababu wanafunzi katika kiwango hiki bado hawawezi kusaka msamiati kialfabeti (kiabjadi).
• Mkusanyiko wa msamiati unaambatana na ule ulio katika silabasi ya Kiswahili iliyoidhinishwa na taasisi ya elimu nchini (awali Kenya Institute of Education, sasa Kenya Institute of Curriculum Development).
• Kamusi hii ina picha maridadi zinazomvutia mwanafunzi na kumrahisishia kazi.
• Picha zote zimeambatanishwa na maelezo kabambe na kwa lugha nyepesi inayomfaa si mwanafunzi pekee bali mtu yeyote akipendaye Kiswahili.
• Msamiati uliotumika utamwezesha mwanafunzi kujua mengi kwenye mazingira yake.
Kundenbewertungen
ya drama, adventure, kitabu, joka, mtoto, action, book, fiction, drama, tukio, child, tamthiliya, Juvenile, fairy tale, siri, kitendo, mystery, mchezo wa kuigiza