Kachuma na Polisi wezi
Patrick Ngugi
EPUB
ca. 17,99 €
Kinder- und Jugendbücher / Jugendbücher ab 12 Jahre
Beschreibung
Nicky Kachuma, kijana wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Toredi, amefukuzwa shuleni kwa kukosa karo. Akiwa njiani kuelekea nyumbani anashuhudia gari la benki likivamiwa na wezi na pesa zote kuibwa. Anawajulisha polisi wanaochangamkia jambo hilo. Je, Kachuma atauawa au ataokoa pesa kupotea? Soma ili ufurahie uhondo huo.
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
coming of age, kijana, teen, novela, kitendo, joka, book, kitabu, tukio, dragon, young adult, action, fiction, tamthiliya, kuja kwa umri, ya drama, mystery, novella, mchezo wa kuigiza, kijana mzima, adventure, drama, siri