Tusome Familia Yangu
Yahya Mutuku
EPUB
ca. 19,99 €
Kinder- und Jugendbücher / Sachbücher / Sachbilderbücher
Beschreibung
Baba, mama na mwana ni majina ya familia. Baba ni mzazi wa kiume. Mama ni mzazi wa kike. Je, utamwitaje ndugu wa kike? Je, utamwitaje ndugu wa kiume? Kitabu hiki kinafundisha majina ya familia. Familia huitwa ukoo. Familia ina majina mengi. Soma ujue majina ya familia yako.
Weitere Titel von diesem Autor
Weitere Titel in dieser Kategorie
Kundenbewertungen
Schlagwörter
book, tukio, fiction, action, kitabu, mchezo wa kuigiza, ya drama, tamthiliya, adventure, joka, mystery, kitendo, siri, drama, Juvenile young adult, mtoto